UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC06:53 Source: AAPSBS SwahiliView Podcast SeriesFollow and SubscribeApple PodcastsYouTubeSpotifyDownload (6.3MB)Download the SBS Audio appAvailable on iOS and Android Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapaJamii zinazo ishi katika vijiji vya mpaka wa Sudan Kusini na DRC, ndizo zilizo kuwa ziki wasaidia wakimbizi hao takriban elfu kumi na tano.Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi kutoka kwa mwandishi wetu Jason Nyakundi.ShareLatest podcast episodesMaumivu ya wanawake kutiliwa maanani zaidiMaandamano ya kikundi cha NSN uliwezaje kuruhusiwa kufanyikaMazungumzo kuhusu African Youth Summit 2025Idadi ya watoto wa mataifa ya kwanza gerezani yazua tashwishi