Madai ya wizi wa kura yasambaa katika kampeni za uchaguzi wa urais ujao wa DR Congo

Bw Isaac Kisimba akizungumza na idhaa ya Kiswahili ya SBS Source: SBS Swahili
Wapiga kura na wagombea wa uchaguzi wa urais wa DR Congo, wame anza kuelezea wasi wasi wao kuhusu usalama wa kura katika uchaguzi wa urais utakao fanywa tarehe 30 Disemba 2018.
Share




