Wanafunzi wakimataifa wenye aina ya shahada zinazo ungwa na uhaba wa ujuzi, pia wata stahiki kupewa nyongeza ya haki yamasaa yakazi baada yakuhitimu.
Mageuzi hayo yata anza kutumika kuanzia Julai mosi na, yataongeza haki zakufanya kazi kutoka miaka mbili hadi minne kwa baadhi ya shahada zitakazo teuliwa, na miaka minne hadi miaka sita kwa shahada za uzamivu ambayo hujulikana pia kama daktari wa falsafa ama PHD kwa ufupi.