Uamuzi huo una ashiria makubaliano yaliyo fikiwa kati ya vyama hivyo viwili kwa sera muhimu, nakufungua njia kwa tangazo la baraza la mawaziri vivuli.
Makubaliano yamefikiwa kati ya vyama vya Liberal na National, nakumaliza mgawanyiko ulio dumu kwa siku nane.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.