Mada ya mwaka huu, Kuunganisha Jumuiya, ina sherehekea nafasi muhimu ya watu wanao jitolea kujenga jumuiya imara, na kwa kuwasaidia watu kuungana na wengine.
Hata hivyo, idadi ya watu wanao jitolea nchini Australia ime kuwa ikipungua katika miaka ya hivi karibuni, hali ambayo imezua wito kwa serikali itoe msaada zaidi kwa wanao toa muda wao na ujuzi wao kwa bure.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.