Hayo ni kwa mujibu wa chama chake cha Patrotic Front. Lungu alikuwa kiongozi wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika kati ya mwaka wa 2015 na 2021.
Lungu alikuwa kiongozi wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika kati ya mwaka wa 2015 na 2021, wakati aliposhindwa kwa kishindo katika uchaguzina Rais wa sasa Hakainde Hichilema.
Chama chake kimesema kwenye ujumbe kilichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa rais huyo wa zamani, ambaye amekuwa akipokea matibabu maalumu nchini Afrika Kusini, alifariki dunia leo Alhamisi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.