Shirika la uangalizi la watumiaji la Australia, lina fungulia mashtaka duka la Coles katika mahakama ya shirikisho.
Shirika hilo ambalo hujulikana kwa ufupi kama ACCC, lime dai kuwa duka la Coles lili wadanganya wanunuzi kuhusu punguzo za baadhi ya bidhaa.
Hii ni kesi ambayo inaweza kuwa na athari pana kwa sheria za watumiaji.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.
Share





