Australia Yafafanuliwa:Kijana wangu anaweza anza kufanya kazi lini nchini Australia?

Mixed race teenage boy working in cafe
Credit: Kingfisher Productions/Getty Images

Kuanza kazi ya muda mfupi kunaweza kuwa uzoefu wenye maana kwa kijana, kuongeza kujithamini kwake, kumsaidia kujifunza ujuzi mpya na kupata pesa zake za kwanza.


Published

Updated

By Zoe Thomaidou

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Kuanza kazi ya muda mfupi kunaweza kuwa uzoefu wenye maana kwa kijana, kuongeza kujithamini kwake, kumsaidia kujifunza ujuzi mpya na kupata pesa zake za kwanza.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Nchini Australia, watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza kufanya kazi ya kulipwa chini ya hali fulani.

Katika makala haya utajifunza unachohitaji kujua ili kuhakikisha kwamba mtoto wako anatendewa haki na ana uzoefu mzuri wa kazi ya kwanza.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now