SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Upinzani wa mseto waomba maelezo zaidi kabla ya kura ya mageuzi ya sheria za mitandao ya kijamii zilizo imarishwa

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili
Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Makampuni ya mitandao ya kijamii yanaweza kuwapa watumiaji chaguo la kuzima algoriti yao, chini ya rasimu za sheria zilizopangwa kufichuliwa na serikali wiki hii.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Makampuni ya mitandao ya kijamii yanaweza kuwapa watumiaji chaguo la kuzima algoriti yao, chini ya rasimu za sheria zilizopangwa kufichuliwa na serikali wiki hii.


Chama cha Labour kinatarajiwa kutoa rasimu ya kufichua sheria yake ya Ushuru wa Kidijitali, kama sehemu ya juhudi zilizoongezeka za kukabiliana na madhara mtandaoni.

Makamu wa rais amesema kifo cha mume wa rais wa Tanzania, Ameir aliye aga dunia jana saa mbili asubuhi katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa moyo. Marehemu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 66.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now