Australia inapo ingia katika majira ya kuchipua, wataalamu wanawasihi watu wasiache kujilinda dhidi ya magonjwa ya msimu.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Magonjwa ya kupumua yanaendelea kuenea miongoni mwa watu, huku viwango vya juu vya chavua ya majira ya kuchipua vikitarajiwa pia kusababisha dalili za pumu na mzio.
Majira ya kuchipua huleta hali ya hewa ya joto, maua yanayochanua na mgeni wa msimu ambaye hakaribishwi sana: virusi vinavyoendelea kwa muda mrefu.
Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi.
Share






