SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Sera ya malipo ya uzeeni ya One Nation yakosolewa vikali

Bench - Swahili.jpg

Chama cha One Nation kina kana kwamba sera yake mpya ya malipo ya uzeeni itasababisha uondoaji mkubwa wa malipo ya uzeeni, au kuongezeka kwa mfumuko wa bei.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Chama cha One Nation kina kana kwamba sera yake mpya ya malipo ya uzeeni itasababisha uondoaji mkubwa wa malipo ya uzeeni, au kuongezeka kwa mfumuko wa bei.


Kwa upande wayo serikali inasema sera kama hiyo, itaharibu maliyo ya uzeeni kama tunavyo yajua.

Mamlaka nchini Tanzania imetangaza rasmi kuhamia katika mji wa Serikali wa Mtumba ulioko Dodoma ambapo wafanyakazi zaidi ya elfu 18 watahamia, tukio ambalo linaenda kukamilisha historia ya mpango wa Serikali kuhamia makao makuu ya nchi. Kwa mujibu wa Serikali, kiasi cha shilingi za Tanzania bilioni 698 zimetumika kati ya shilingi bilioni 940 zilizopangwa kwa ajili ya mji huo ambapo shughuli za ujenzi bado zinaendelea.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now