Serikali ya Australia inaanzisha kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal, huku idadi ya Waaustralia waliopotea ikiongezeka hadi 39.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Kamishna wa Unyanyasaji wa Majumbani, Familia na Kijinsia wa Australia anasema nchi hii bado inashindwa kukabiliana na ukatili wa kijinsia. Micaela Cronin anasema mpango mpya wa kitaifa wa kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na watoto unahitaji hatua kali zaidi katika maeneo ambayo maendeleo yamekwama.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemvua uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, siku moja baada ya kutangaza kujiuzulu wadhifa huo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.





