SKIP TO MAIN CONTENT

Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli za mashirika yakiraia katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Skip to podcast episode content

Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli za mashirika yakiraia katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.

Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Ripoti ya shirika hilo iliyo chapishwa hivi karibuni imesema mashambulizi hayo yame sababisha vifo vya idadi ya watu isiyopungua sita na kujeruhi wengine kadhaa.

Bofya hapo chini kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now