SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

BURKE STUDENT MIGRATION COMPOSITE
A composite showing Minister for Home Affairs Tony Burke, about migration and international students created on Thursday, September 17, 2026. (AAP Graphics/Joanna Kordina, AAP Image/Mick Tsikas, Bianca De Marchi) NO ARCHIVING Source: AAP / JOANNA KORDINA/AAPIMAGE

Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.


Published

Updated

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mabadiliko mengi muhimu zaidi yanahusiana na wanafunzi wa kimataifa, wanaofanya kazi likizoni na visa za wageni.

Serikali pia imeashiria utekelezaji imara na msako dhidi ya wanao hama kutoka visa moja hadi nyingine.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now