SKIP TO MAIN CONTENT

Yaliyojiri Afrika: CCM yamtimua Dkt Emmanuel Nchimbi

Tanzania-Vice President Resigns
FILE - Tanzania's Vice President Emmanuel Nchimbi delivers his speech during a campaign rally in Dodoma, Tanzania, Saturday, Sept. 27, 2025. Source: AP / AP Photo/AAP Image

Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Jason Nyakundi, Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Jummanne, Nchimbi alitangaza kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4. Alisema amefikia uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatamani kuwa na mabadiliko katika nafasi hiyo.

Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now