SKIP TO MAIN CONTENT

Mumbi afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia

Bi Mumbi, Mkurugenzi wa Tamasha ya Filamu zaki Afrika nchini Australia.

Wanachama wa Jumuiya za Afrika wanao ishi jijini Sydney, New South Wales wana jiandaa kuhudhuria tamasha maalum.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Wanachama wa Jumuiya za Afrika wanao ishi jijini Sydney, New South Wales wana jiandaa kuhudhuria tamasha maalum.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mumbi Hinga ni Mkurugenzi wa shirika la Africa Film Fest Australia. Katika mahojiano na SBS Kiswahili alifunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya mwaka huu, pamoja na shughuli ambazo watakao hudhuria tamasha hiyo wata shiriki.

Kwa ratiba na maelezo zaidi kuhusu tamasha hii, tembelea:

https://africafilmfest.au/

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now