Mkutano wa viongozi wa shirikisho, majimbo na wilaya ulimuacha Waziri Mkuu Anthony Albanese akikubali agizo la vituo vya data vinavyoweza kutumika tena.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Pia katika ajenda: mwitikio wa kitaifa kwa mfumo wa hatari wa vurugu za majumbani, mageuzi ya bunduki na dola milioni 125 za ziada kwa hatua zaku kabiliana na homa ya ndege inayo endelea.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





