Zoezi kubwa zaidi la kimataifa la Jeshi la Anga la Australia, linaendelea katika Eneo la Kaskazini na litafanyika kwa wiki tatu zijazo.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Waziri Mkuu ameuelezea mwaka huu kama muhimu zaidi kwa Zoezi la Pitch Black, kutokana na kuongezeka kwa umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





