SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11

A view of the south reflecting pool at the National September 11 Memorial at ground zero in New York
epa13219689 (FILE) - A view of the south reflecting pool at the National September 11 Memorial at ground zero in New York, New York, USA, 02 August 2011 (reissued on 04 September 2026). The rebuilding of Ground Zero, the World Trade Center site in Lower Manhattan, was not a single construction project but a major urban redevelopment programme. The principal public agency was the Port Authority of New York and New Jersey, which owns the site and oversaw much of its redevelopment. The complex was rebuilt over several decades through the involvement of public authorities, government funding, private developers and investors, including Silverstein Properties. EPA/JUSTIN LANE Source: EPA / JUSTIN LANE/EPA

Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani na kuiingiza Australia katika vita nchini Afghanistan na Iraq.


Published

By Alex Jones, Essam Al-Ghalib

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani na kuiingiza Australia katika vita nchini Afghanistan na Iraq.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Robo karne baadaye, waziri mkuu wa zamani John Howard na wataalamu wa usalama wanasema tishio la kigaidi limebadilika na kuwa kitu ngumu zaidi.

Robo karne iliyopita, matukio ya tarehe 11 Septemba yalibadilisha sura ya usalama duniani. Miundo iliyoanzishwa kukabiliana na hali hiyo bado ipo, lakini vitisho vimebadilika na kuwa tata zaidi—kutoka ugaidi uliopangwa hadi vitendo vinavyofanywa na watu binafsi, itikadi kali za mtandaoni, na uingiliaji kati wa kigeni.

Baada ya miaka ishirini na mitano, vyombo vya usalama vinakabiliwa na mazingira changamano zaidi..

Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi:


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now