Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Katika mazungumzo na SBS Swahili baada ya tamati ya tamasha hiyo, Mkurugenzi wa tamasha hiyo Bi Mumbi alifunguka kuhusu mapokezi ya tamasha hiyo pamoja na kile wapenzi wa filamu za Afrika wanastahili tarajia kutoka shirika lake mwakani.
Kwa taarifa zaidi kuhusu shirika lake tembelea: https://africafilmfest.au/
Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi
Share






