Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho

Mr Angus Taylor New Energy Minister

Mr Angus Taylor New Energy Minister Source: SBS

Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa aliyekuwa kiongozi wake.


Published

Updated

By Deborah Groarke, Briana Charles

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa aliyekuwa kiongozi wake.


Nakumaliza muda wa uongozi wa miezi tisa wa Sussan Ley kama kiongozi wa kwanza mwanamke wa chama hicho.

Akiungwa mkono na Naibu mpya Jane Hume, msomi huyo wa Rhodes na Mweka Hazina wa zamani Kivuli sasa anakabiliwa na changamoto ya kujenga upya msingi uliovunjika huku akipitia historia ya kisiasa iliyojaa utata mkubwa wa zamani.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now