Wanawake wanao ishi katika maeneo ya jiji la Melbourne wame andaliwa tukio maalum Jumapili 10 May, ambayo huadhimishwa kama siku ya kina mama.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Mratibu wa tukio hilo Bi Anne Macharia alifunguka kuhusu lengo la kuandaa tukio hilo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






