Hatua hiyo ina fuata matangazo kama hayo kutoka Ufaransa, Canada na Uingereza katika wiki za hivi karibuni.
Kwa wiki kadhaa, serikali ya shirikisho imekuwa ikisema ni swala la muda, kwa Australia kutambua Palestina kama taifa.
Na sasa tuna jua muda huo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.