Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia

Australian Border Force Officer_ABF.jpg

Australian Border Force Officers will be one of your first points of contact when entering the country. Credit: ABF

Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa zilizopigwa marufuku nje ya nchi.


Published

By Melisa Compagnoni, Sushen Desai

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa zilizopigwa marufuku nje ya nchi.


Hatua kali za usalama wa kibiolojia za Australia, zimewekwa kwa ajili yakulinda mazingira yetu ya kipekee, uchumi na jamii.

Kabla ya kufunga mzigo wako, haya ndiyo unayohitaji jua kuhusu kile kinachoweza na kisichoweza vuka mpaka, na kile kilicho hatarini kama sheria za usalama wa kibiolojia zitapuuzwa.

Orodha kamili ya bidhaa zilizopigwa marufuku inapatikana kwenye tovuti ya Kikosi cha Mpakani cha Australia.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now