Sio kutia chumvi tunaposikia kwamba Kombe la Dunia la FIFA lina tarajiwa kuleta dunia pamoja katika mwezi wa Juni. Baada ya yote, mpira wa miguu unajulikana kama mchezo maarufu zaidi duniani.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Lakini mpira wa miguu huanza kwenye viwanja vya vitongoji na katika vilabu vya mitaani, na wachezaji wa kila siku wa rika na uwezo wote.
Hivi ndivyo unavyoweza kuwa mmoja wao.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






