Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Australia yatinga raundi ya 32 baada ya sare yakutofungana dhidi ya Paraguayi

Nestory Irankunda

Australia's Nestory Irankunda, center, celebrates after scoring their opening goal during the World Cup Group D soccer match between Australia and Turkey in Vancouver, British Columbia, Saturday, June 13, 2026. Source: AP / Abbie Parr/AP Photo/AAP Image

Socceroos wamefanikiwa kufika hatua ya mchujo baada ya kupata sare yakutofungana katika Kundi D, wakati Ecuador ikiwaacha wajerumani vinywa wazi katika Kundi E na kufuzu kushiriki katika hatua ya timu bora 32.


Published

By Gonzalo Aguirregomezcorta

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Socceroos wamefanikiwa kufika hatua ya mchujo baada ya kupata sare yakutofungana katika Kundi D, wakati Ecuador ikiwaacha wajerumani vinywa wazi katika Kundi E na kufuzu kushiriki katika hatua ya timu bora 32.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Australia sasa itakabiliana na mshindi wa pili wa Kundi G, ambalo lina Ubelgiji, Misri, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na New Zealand.

Katika Kundi E, Ecuador walitoka nyuma na kuwashinda mabingwa mara nne wa dunia Ujerumani 2-1, na kujihakikishia nafasi yao katika Raundi ya 32.

Côte d'Ivoire ilimaliza ya pili katika kundi hilo baada ya kuishinda Curaçao 2-0.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now