Wanaume kutoka jumuiya za Afrika Mashariki wanao ishi jimboni New South Wales, wana jiandaa kwa kongamano maalum Jumamosi 27 Juni 2026.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Hezron Baranga ni Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wa NSW. Alipo zungumza na SBS Swahili, alifunguka kuhusu maandalizi na lengo la kuandaa kongamano hilo.
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share






