Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Christine "baadhi ya wanawake wame acha kazi kwa sababu yakushindwa kuamuka"

Most women become menopausal naturally between the ages of 45 and 55 years, with the average age of onset at around 50 years.

Most women become menopausal naturally between the ages of 45 and 55 years, with the average age of onset at around 50 years. Source: iStockphoto

Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.


Christine Mumbua ni muuguzi nchini Uingereza, lakini kwa sasa yuko nchini Australia ambako anafanya utafiti wa Uzamivu katika chuo cha Deakin kwa ushirikiano na chuo cha Coventry cha Uingereza.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Christine alifunguka kuhusu hatua hiyo ya maisha ambapo wanawake hukoma kupata hedhi, dalili zake, changamoto zinazo ibuka na baadhi ya hatua ambazo mhusika anaweza chukua kupata afueni au msaada.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now