Ardhi iko katika kiini cha utambulisho, utamaduni na ustawi wa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait. Inajulikana kama “nchi” na inajumuisha ardhi, njia za maji, anga na kila kitu kilicho hai.
Katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, tuta chunguza haki za ardhi zawa Australia wa asili, wanacho husisha, ardhi gani ina funikwa, nani anaweza fanya madai na madhara kwa jamii za Mataifa ya Kwanza.
Kwa miaka mingi, uhusiano wa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait kwa ardhi yao haiku tambuliwa. Sheria kuhusu haki za Ardhi zili undwa kuwapa udhibiti kisheria kuhusu ardhi zao zakitamaduni.
Kabla ya ukoloni, wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, wali hudumia ardhi kwa makumi yama elfu ya miaka.
Ila, ukoloni ulichukua ardhi hiyo bila makubaliano yoyote, kulingana na wazo potofu la terra nullius maana yake Ikiwa ni “ardhi isiyo milikiwa na mtu yeyote.”
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.