Rwandan suspected genocide financier Felicien Kabuga is seen as International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT) announced him as he is âunfitâ to stand trial due to his severe dementia, in Lahey, Netherlands on August 08, 2023. Source: Anadolu / International Criminal Court / Handout/Anadolu Agency via Getty Images
Mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Félicien Kabuga anakabiliana na wakati mgumu kupata nchi itakayo mpokea kwa muda kutoka gereza la The Hague, Uholanzi.
Mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Félicien Kabuga anakabiliana na wakati mgumu kupata nchi itakayo mpokea kwa muda kutoka gereza la The Hague, Uholanzi.
Kesi dhidi ya Kabuga imesitishwa kwa muda usio julikana kwa misingi ya afya ya mshukiwa huyo mwenye umri wa miaka 90. Kufikia sasa hakuna nchi ambayo imekubali kumpokea isipokuwa Rwanda, ambako anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari.