Mashabiki wa soka wana endelea kupata burudani kupitia Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalo andaliwa nchini, Canada, Marekani na Mexico.
Wakati kuna matokeo ya mechi yaliyo tarajiwa, matokeo mengine yame waacha mashabiki na wachambuzi wa mpira wa miguu vinywa wazi.
Mchambuzi wetu wa michezo Frank Mtao, alifunguka katika makala haya.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






