RUSSIA, MOSCOW - MARCH 2, 2026: Flowers are pictured by a portrait of Iranian Supreme Leader Ali Khamenei outside the Iranian Embassy. On February 28, the United States and Israel launched attacks against Iran. Iranian state media confirms the death of Supreme Leader Ali Khamenei. Sergei Karpukhin/TASS/Sipa USA Source: SIPA USA / Sergei Karpukhin/Sergei Karpukhin/TASS/Sipa USA
Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo na duniani kote kwa ujumla.
Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo na duniani kote kwa ujumla.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, mchambuzi wa maswala ya siasa Bw Jay alifunguka kuhusu mzozo huo pamoja na changamoto baadhi ya nchi zime pata ziki shiriki katika mazungumzo na Marekani.