Baadhi ya mifano inajumuisha biashara yaku funza kufanya mazoezi, kuwa na afya njema, biashara ya urembo na kusuka na urembo, upishi au hata kuwa mtaalam wa malezi ya watoto.
Ila kama katika biashara zingine, kuna sheria ambazo unastahili fuata. Katika makala haya ya Australia yafafanuliwa, tuta chambua sheria za msingi na hatua muhimu zaku zingatia unapo anzisha biashara ya nyumbani.
Ikiwa ina endeshewa nyumbani au sehemu nyingine, biashara kwa ujumla hufafanuliwa kama shughuli inayo endeshwa kwa nia yaku pata faida.
Ila, si kila aina yaku tengeza hela hufuzu kama biashara.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Una swali lolote au wazo la mada? Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au