Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Michuano hiyo itatumiwa na wenyeji hao watatu kama maandalizi ya kombe la Afrika la 2027, litakalo andaliwa na Kenya, Uganda na Tanzania.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





