Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Labor yatetea mabadiliko ya kodi ya nyumba katika bajeti licha ya ukosoaji katika kura za maoni

A composite created on Wednesday, May 13, 2026 featuring Finance Minister Katy Gallagher (L), Prime Minister Anthony Albanese (C) and Treasurer Jim Chalmers (R)

Mjadala unaendelea kuhusu mustakabali wa mfumo wa kodi wa Australia, baada yakutolewa kwa bajejeti ya Shirikisho wiki iliyopita.


Published

Updated

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Mjadala unaendelea kuhusu mustakabali wa mfumo wa kodi wa Australia, baada yakutolewa kwa bajejeti ya Shirikisho wiki iliyopita.


Upinzani wa Mseto umetangaza sera zake zisizo za kawaida kuhusu kodi na nyumba, wakati Mweka Hazina anafanya kazi kuuza mabadiliko matatu yanayoathiri ugawaji hasi, faida za mtaji na mifuko ya uaminifu.

Kura mbili mpya za maoni zinapendekeza kwamba bajeti yake ya shirikisho haijapokewa vizuri na wapiga kura - lakini Jim Chalmers ametangaza kwamba manufaa ya muda mrefu yanayotokana na mabadiliko ya kodi ya nyumba yenye utata yanastahili maumivu ya muda mfupi ya kisiasa.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now