Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Mahojiano: Jay "vita dhidi ya Iran vinaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa Australia"

Fuel Prices

Motorists drive past a fuel price display in Sydney, Source: AP

Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.


Bei ya mafuta ime ongezeka tayari, hatua ambayo ime ilazimisha Serikali ya Shirikisho kuchukua hatua kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta nchini Australia.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, mchambuzi wa maswala ya kisiasa Bw Jay alifunguka kuhusu mgogoro huo pamoja na changamoto baadhi ya nchi zita pata.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now