Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Mahojiano: Je makanisa yanastahili watenga viongozi ambao wame sababisha maafa katika nchi zao na duniani?

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu (kushoto) Rais wa Marekani Donald Trump (katikati) na Kiongozi wa zamani wa Iran Hayati Ayatollah Ruhollah Khomeini (kulia).

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu (kushoto) Rais wa Marekani Donald Trump (katikati) na Kiongozi wa zamani wa Iran Hayati Ayatollah Ruhollah Khomeini (kulia). Credit: JIM LO SCALZO/Sipa USA/EPA/IRANIAN SUPREME LEADER OFFICE/AAP Image

Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.


Bw Gilbert na Bi Linda walijumuika na wakristo wenzao mjini Sydney katika ibada na matukio mengine ya Pasaka.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, wawili hao walifunguka kuhusu uzoefu wao wa maadhimisho ya Pasaka pamoja nakuchangia maoni yao kuhusu hatua ambazo viongozi wakidini wanastahili chukua, dhidi ya viongozi wa dunia ambao ni waumini na wanasababisha maafa na uharibifu duniani.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now