Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Mahojiano: Micheline"Tunataka wanawake wote wasimame imara"

Bi Micheline (kushoto) Rais wa wanawake wa wanajumuiya kutoka DRC mjini Sydney, Australia..jpg

Wanawake kutoka jumuiya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wana jiandaa kwa sherehe maalum ya siku ya wanawake.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Wanawake kutoka jumuiya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wana jiandaa kwa sherehe maalum ya siku ya wanawake.


Wanawake kwa wasichana pamoja na rafiki zao, wata jumuika katika ukumbi wa Smithmithfield RSL Jumamosi 14 Machi 2026 kuanzia saa kumi na moja unusu hadi saa tano na nusu usiku.

Katika mahojiano maalum na Bi Micheline ambaye ni rais wa wanawake wa jumuiya hiyo, alifunguka kuhusu lengo na umuhimu wa sherehe hiyo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now