Ripoti mpya kutoka Medecins Sans Frontieres inasema, ukatili wa kijinsia huko Darfur umeenea, na manusura wengi bado hawapatikani.
Onyo, makala yafuatayo yana mambo ambayo yanaweza wakera baadhi ya wasikilizaji.
Kama wewe au mtu unayemjua ameathiriwa na unyanyasaji wa kijinsia, unaweza pata msaada kwa kupiga simu kwa namba hii 1800RESPECT kwa 1800 737 732, tuma ujumbe mfupi kwa 0458 737 732, au tembelea 1800RESPECT.org.au. Katika dharura, piga simu kwa namba hii 000.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.





