Prime Minister Anthony Albanese at a press conference at Parliament House in Canberra, Friday, March 27, 2026 Source: AAP / MICK TSIKAS/AAPIMAGE
Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.
Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.
Taifa linapo kabiliana na kile ambacho Waziri Mkuu anakiita ongezeko kubwa zaidi la bei ya petroli na dizeli katika historia, Australia itajiunga na viongozi wengine wa dunia kwa mazungumzo kuhusu kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.