Corflutes are seen at a pre-polling centre in the seat of Farrer ahead of a by-election, Albury, Thursday, April 30, 2026. Candidates are set for a hotly contested race to replace Sussan Ley in parliament after she was deposed as opposition leader. (AAP Image/Mick Tsikas) NO ARCHIVING Source: AAP / MICK TSIKAS/AAPIMAGE
Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa.
Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa.
Mgombea wa chama cha One Nation pamoja na mgombea huru wana ongoza katika kinyang'anyiro hicho, wapiga kura katika eneo bunge hilo salama la zamani la chama cha mseto, hali hiyo inawakilisha mwelekeo unaoongezeka wa kutoridhika na vyama vikuu.