Vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati, na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, kumesababisha kile ambacho wataalamu wanakielezea kama moja ya migogoro mikubwa zaidi ya nishati katika miongo kadhaa.
Ila mafuta na gesi sio rasilimali muhimu pekee zinazoathiriwa.
Vita hivyo pia vimevuruga pakubwa mtiririko wa mbolea kutoka Mashariki ya Kati, na kusababisha wasiwasi kuhusu athari zake kwenye uzalishaji wa chakula wa ndani na usalama wa chakula.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





