Ma milioni wame jumuika mjini Mecca Saudi Arabia, kwa hija ya mwaka huu.
Hijja ni safari ya kila mwaka ambayo mamilioni ya Waislamu hufanya kwa nia ya kutekeleza ibada za kidini, kama alivyo fundisha Mtume Mohammad wa Uislamu kwa wafuasi wake karne 14 zilizopita.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





