A composite created on Tuesday, April 21, 2026 featuring Health Minister Mark Butler and the NDIS, flagging cuts to the National Disability Insurance Scheme as the government seeks to curb growth to about 5 per cent. (AAP Image/Susie Dodds) NO ARCHIVING Source: AAP / Susie Dodds/AAPIMAGE
Upunguzaji wa fedha katika Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu ndio chanzo kikubwa zaidi cha uokoaji wa fedha katika bajeti ya serikali shirikisho, jambo linalowaacha watu wengi katika jamii ya wenye ulemavu wakiwa na hasira na wasiwasi juu ya kile kinachokuja.

Maelezo kuhusu ni washiriki gani watapoteza misaada yao, na ikiwa serikali za majimbo zitaziba mapengo hayo, bado yanafanyiwa kazi.