A graphic illustration created on Monday, April 13, 2026 depicting a Truth Social post by US President Donald Trump announcing that, following the collapse of direct talks between the United States and Iran in Islamabad, which failed to produce a nuclear-related agreement, the United States will begin a naval blockade of the Strait of Hormuz. (AAP Image/Susie Dodds) NO ARCHIVING Source: AAP / Susie Dodds/AAPIMAGE
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Kuvunjika kwa mazungumzo ya amani, na mipango ya Marekani ya kuzuia Mlango-Bahari wa Hormuz, kumetikisa eneo ambalo tayari lilikuwa na wasiwasi na kuzua hofu ya mapigano mapya.
Mamia ya wapatanishi na saa ishirini na moja za mazungumzo kujaribu kukomesha wiki sita za mapigano makali.