Waaustralia wameadhimisha Siku ya Anzac kote nchini na katika fukwe ya Gallipoli nchini Uturuki kuwakumbuka waliohudumu katika jeshi.
Licha ya maadhimisho ya sherehe hiyo, huduma za alfajiri mijini Sydney, Melbourne na Perth zilitatizwa kwa kelele za kuzomea.
Vikundi vya maveterani na viongozi wa kisiasa, wamelaani matukio hayo na kusema ni ukiukaji usio na heshima wa Siku ya Anzac.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.






