Reza Faqiri, an Amazon floor manager, poses with an Amazon robot at Amazon Robotics Fulfilment Centre in Sydney, Friday, October 18, 2024. Amazon robotRobotics and AI are helping some people avoid mundane and repetitive physical tasks, and are being increasingly accepted in Australian workplaces. (AAP Image/Dean Lewins) NO ARCHIVING Source: AAP / DEAN LEWINS/AAPIMAGE
Ripoti mpya inasema kwamba Australia haina mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kuenea kwa akili bandia mahali pa kazi.
Ripoti mpya inasema kwamba Australia haina mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kuenea kwa akili bandia mahali pa kazi.
Ripoti hiyo imechapishwa wakati kongamano la A-I likifanyika mjini Adelaide ili kuchunguza suala hilo.
Ripoti kutoka Kituo cha Utafiti cha John Curtin inasema kwamba athari ya AI kwa wafanyakazi wa Australia haitaamuliwa na teknolojia, bali na chaguzi za kisiasa.