Kwa wanafunzi wa kimataifa wanaosomea nchini Australia, kupata huduma ya afya mara nyingi huonekana kama swala ghali sana... au la kutatanisha sana kuweza kuipitia.
Mpango mpya uliobuniwa na wanafunzi wa kimataifa KWA wanafunzi wa kimataifa - unalenga kurahisisha upatikanaji wa huduma, ukiondoa miiko inayohusu afya ya ngono na akili.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





