Rescuers carry a victim of flash flooding to safety along the Trishuli River in Nepal's Nuwakot district, Wednesday, Aug. 26, 2026. (AP Photo/Niranjan Shrestha) Source: AP / Niranjan Shrestha/AP Photo/Niranjan Shrestha
Takriban watu 160 wameuawa, na mamia wakiwemo watalii na Waaustralia 34 hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea kwenye mpaka wa Nepal na Tibet.
Takriban watu 160 wameuawa, na mamia wakiwemo watalii na Waaustralia 34 hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea kwenye mpaka wa Nepal na Tibet.
Mamlaka za mitaa zinasema zaidi ya miili 150 imepatikana.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia, Penny Wong anasema wale waliopotea ni sehemu ya vikundi tofauti vya hija na ziara. Utafutaji ukiendelea, maswali yanaibuka kuhusu kilichosababisha mafuriko hayo, na hatari za mafuriko mapya.