Women hold slogans during a march marking the International Women's Day near Taksim square in Istanbul on March 8, 2026. Thousands of women gathered in Beyo?lu for the traditional Feminist Night March, organized in Istanbul as part of International Women's Day on March 8th. (Photo by Tolga Sezgin / SOPA Images/Sipa USA) Source: SIPA USA / Tolga Sezgin / SOPA Images/Tolga Sezgin / SOPA Images/Sipa USA
Wanawake kote duniani walijitokeza mitaani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakitaka kukomeshwa kwa ukosefu wa usawa na ubaguzi.
Wanawake kote duniani walijitokeza mitaani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakitaka kukomeshwa kwa ukosefu wa usawa na ubaguzi.
Baadhi ya masuala yaliyo angaziwa ni ukosefu wa usawa wa malipo, haki za uzazi na unyanyasaji wa kijinsia.
Usiku ulipoingia, maelfu ya wanawake waliandamana katika mji mkuu wa Turkiye, Istanbul, wakipinga marufuku ya maandamano.
Nako mjini Madrid, wanawake waliandamana kwa mshikamano na wanawake wanaoishi chini ya tawala dhalimu, wakielezea hofu kwamba hali inayozidi kuongezeka katika eneo la Mashariki ya Kati itazidisha hali hiyo.